Rais Ruto atetea muungano na Raila

  • | KBC Video
    830 views

    Rais William Ruto ametetea mkataba wake wa kuungana na kinara wa ODM Raila Odinga kwa minajili ya kuleta uthabiti humu nchini. Rais alisema kuwa kiwango cha chini cha ustawi nchini kimetokana na ukabila na migawanyiko akikariri kwamba anaazimia kuondoa aina zote za ubaguzi kupitia serikali jumuishi. Aliyasema hayo mjini Siaya wakati wa mazishi ya George Oduor, aliyekuwa mshirika wa muda mrefu wa Raila Odinga.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive