Rais Ruto atoa onyo kali dhidi ya watu wanaoficha dola

  • | K24 Video
    461 views

    Rais William Ruto ametoa onyo kali dhidi ya watu wanaoficha dola huku taifa likihangaishwa na kupungua kwa thamani ya shilingi . Kulingana na rais njia moja ya kupambana na uhaba wa dola za Marekani ni uagizaji wa mafuta kwa kutumia shilingi ya Kenya kama ilivyo. Mpango huo utasaidia serikali kuokoa takriban shilingi millioni 500. Haya yanajiri huku rais akiwahakikishia wawekezaji mazingira bora ya kuendesha biashara zao .