Rais Ruto atoa wito wa kupunguzwa kwa msongamano katika jiji kuu na miji mingine mikubwa

  • | K24 Video
    53 views

    Rais William Ruto ametoa wito wa kupunguzwa kwa msongamano katika jiji kuu na miji mingine mikubwa kupitia upanuzi wa manispaa 79 zilizotengwa katika kaunti zote 47. Ruto pia amewapa magavana changamoto za kujitafutia mapato pasi na kutegemea mikopo ili kuendeleza miradi ya manispaa katika kaunti hizo.