Rais Ruto awaonya wanaoeneza propaganda wakome

  • | KBC Video
    915 views

    Rais William Ruto amesema wanaohujumu juhudi za serikali hawatafanikiwa kutatiza ufanisi wa taifa hili. Akiongea katika kaunti ya Uasin Gishu baada ya kuzindua miradi ya maendeleo katika siku ya pili za ziara yake rasmi ya siku tatu eneo la North Rift, Rais Ruto alisema serikali yake imelielekeza taifa hili kwenye mkondo wa maendeleo, hali inayobainishwa na uthabiti wa uchumi wake pamoja na mageuzi katika huduma ya afya na sekta za elimu kama anavyotuarifu Wycliffe Oketch.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive