Rais Ruto awapuuzilia mbali wakosoaji wake

  • | KBC Video
    130 views

    Rais William Ruto amewapuuzilia mbali wakosoaji wake ambao wamekuwa wakimshtumu kwa kukosa kutimiza ahadi zake za kabla ya uchaguzi mkuu. Kiongozi wa taifa alisema serikali yake imetumia miaka miwili iliyopita kujaribu kudhibiti na kuimarisha uchumi na sasa iko tayari kutekeleza ahadi alizotoa wakati wa kampeini za uchaguzi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive