Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto awashutumu wakosoaji wake kwa kuwa na mtazamo finyu

  • | KBC Video
    185 views
    Duration: 4:16
    Rais William Ruto amewashutumu wakosoaji wake kwa kuwa na mtazamo finyu kupitia matamshi yao hadharani kuhusu ajenda ya maendeleo ya taifa hili. Akizungumza katika kaunti ya Kisii, Ruto aliwalaumu wanaohujumu juhudi hizo akisema wanapaswa kutoa suluhisho badala ya kuzuia maendeleo ya taifa hili. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive