Rais Ruto awasuta wapinzani wake wa kisasa akisema kamwe hatishiki na yeyote

  • | K24 Video
    28 views

    Rais William Ruto hii leo amewasuta wapinzani wake wa kisasa, akisema kamwe hatishiki na yeyote, na yuko tayari kubabiliana nao wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2027. Rais Ruto amesema haya akiwa katika ziara ya maendeleo katika eneo