Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto azindua kwa mpango wa ruzuku wa nyota unaolenga kuwafaidi vijana

  • | Citizen TV
    2,644 views
    Duration: 2:46
    Rais William Ruto ametangaza rasmi kuzinduliwa kwa mpango wa Ruzuku wa Nyota utakaowafaidi vijana 101,500 kutoka wadi 1,450 nchini. Aidha, rais amesema kwamba Kila kijana atapokea shilingi 50,000 za kuanzisha biashara huku serikali, kwa ushirikiano na Benki ya Dunia ikitenga jumla ya shilingi bilioni 5 kwa mradi huo. Seth Olale na taarifa kamili.