Rais Ruto azindua mgao wa hazina ya wanawake

  • | Citizen TV
    947 views

    Serikali imetangaza kuongezwa kwa mgao wa hazina ya wanawake nchini kwa zaidi ya shilingi bilioni tisa. Rais pia akitangaza kuzinduliwa kwa utoaji wa mikopo hiyo kwa wanawake kupitia njia ya simu ili kulainisha zoezi hilo