Rais Ruto azindua miradi kadhaa ya maendeleo eneo la Mlima Kenya

  • | KBC Video
    223 views

    Rais William Ruto amesema serikali itazindua eneo maalum la kiuchumi huko Sagana,kaunti ya Kirinyaga ili kuwavutia wawekezaji katika eneo hilo.Akiongea baada ya uzinduzi wa ujenzi wa bustani ya kilimo katika kaunti hiyo,kiongozi wa taifa aliahidi kutekeleza miradi ya maendeleo inayogharimu mabilioni ya pesa katika kaunti ya Kirinyaga. Rais aidha alitoa wito kwa viongozi kutoka eneo la Mlima Kenya kuunga mkono serikali za kaunti,huku akionya dhidi ya ubabe wa kisiasa miongoni mwa viongozi .

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive