Rais Ruto azuru mitaa ya Nairobi alikokagua miradi ya ujenzi wa nyumba za bei nafuu

  • | K24 Video
    278 views

    Rais William Ruto leo amezuru mitaa ya Nairobi alikokagua miradi ya ujenzi wa nyumba za bei nafuu katika mtaa wa shauri moyo na kuwahatubia wakazi wa kamukunji.Ruto aliendelea kuipiga ngoma ya mipango ya miradi anayopania kufanya Nairobi ikiwemo kusafisha mto Nairobi na kupigia debe mkataba wa ushirikiano aliotia saini na kiongozi wa ODM Raila Odinga.