Rais Ruto hatimaye afika Mlima Kenya baada ya miezi sita

  • | Citizen TV
    7,447 views

    Rais William Ruto Amewasili Katika Ikulu Ndogo Ya Sagana Tayari Kwa Ziara Rasmi Ya Siku Tano Eneo La Mlima Kenya. Wakazi Wa Eneo Hilo Hata Hivyo Wana Hisia Tofauti Kuhusiana Na Ziara Hiyo. Wananchi Wanamtaka Kiongozi Wa Taifa Kushughulikia Ahadi Alizotoa Na Kukamilisha Miradi Ya Hapo Awali Wanazohisi Zimetelekezwa. Na Kama Anavyoarifu Gatete Njoroge, Tayari Maafisa Wakuu Wa Serikali Wamefika Kukagua Miradi Kabla Ya Rais Kuzuru Maeneo Ya Nyandarua, Laikipia, Meru, Kirinyaga, Nyeri, Na Muranga.