Rais Ruto kuhudhuria sherehe ya uapisho wa Rais Mteule John Mahama jijni Accra, Ghana

  • | TV 47
    28 views

    Rais Ruto kuhudhuria sherehe ya uapisho wa Rais Mteule John Mahama.

    Kando na masuala ya kibiashara, Rais Ruto atampigia debe Raila.

    Raila vile vile anatarajiwa katika hafla hiyo kujipigia debe.

    Raila atajua hatima yake mwezi ujao wakati wa kura ya uenyekiti wa AUC.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __