Rais Ruto kwa mara nyingine amkashifu naibu rais aliyebanduliwa Gachagua

  • | NTV Video
    4,517 views

    Naibu rais Willim Ruto kwa mara nyingine ameonekana kumkashifu naibu rais Rigathi Gachagua akisema kuwa wapo viongozi wanaoendeleza ukabila nchini. Ruto akizungumza na wenyeji wa kaunti ya turkana bila kutaja jina la aliyekuwa naibu yake alionyesha kuwa atazidi kufanya kazi na upinzani ili kuleta umoja wa taifa. alikuwa akizungumza katika hafla ya kila mwaka ya kusherehekea utamaduni wa jamii ya waturukana maarufu kama tobong'u lore

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya