Rais Ruto na waziri Rubio wahimiza kusitishwa kwa vita DRC

  • | KBC Video
    67 views

    Rais William Ruto na waziri wa mashauri ya kigeni wa Marekani Marco Rubio wametoa wito wa kusitishwa kwa vita mashariki ya Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo (DRC). Viongozi hao wawili walikariri umuhimu wa ushirikiano baina ya jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na ile ya mataifa ya kusini mwa Afrika (SADC) kaitika kutafuta suluhu kwa mzozo huo,ambao umesababisha mamia ya maelfu ya raia hasa wanawake na watoto kutorokea mataifa jirani kama wakimbizi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive