Rais Ruto sasa asema Gachagua alikuwa mzembe kazini

  • | Citizen TV
    18,906 views

    Rais William Ruto sasa anasema aliyekuwa naibu wake Rigathi Gachagua alikuwa mzembe, mfisadi na mkabila, akiongeza kwamba ilimlazimu kumpiga kalamu ili kupata naibu mchapakazi aliye muadilifu. Akizungumza katika ziara zake za kaunti za Busia, Vihiga na Kakamega leo, rais aliendelea kushabikia serikali yake ya muungano anayosema imeharakisha maendeleo