- 26 viewsRais wa Senegal Macky Sall ametangaza mswaada wa msamaha wa jumla "kwa vitendo vinavyohusiana na maandamano ya kisiasa" yaliyofanyika kati ya mwaka 2021 na 2024. Akizungumza wakati nchi inakabiliwa na mgogoro mkubwa wa kisiasa, uliochochewa na kuahirishwa uchaguzi uliopangwa kufanyika tarehe 25 Februari, Sall anasema mswaada wa msamaha unatokana "na azma ya maridhiano ya kitaifa." #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Rais wa Senegal atangaza uchaguzi kufanyika kabla ya msimu wa mvua kuanza mwaka huu
- - Duniani Leo ››
- 29 Nov 2024 - Mexican President Claudia Sheinbaum said on Wednesday Mexico would retaliate if U.S. President-elect Donald Trump followed through with his proposed 25% across-the-board tariff, a move her government warned could kill 400,000 U.S. jobs and drive up…
- 29 Nov 2024 - Australia approved on Thursday a social media ban for children aged under 16 after an emotive debate that has gripped the nation, setting a benchmark for jurisdictions around the world with one of the toughest regulations targeting Big Tech.
- 29 Nov 2024 - Kampala socialite Don Nasser alleged unlawful kidnap in Kenya, leading to his detention
- 29 Nov 2024 - Puzzling death of lecturer who left home for a leisurely walk only to be found dead.
- 29 Nov 2024 - The payroll manager inflated his salary up to three times and paid his spouse who worked in a different devolved unit.
- 29 Nov 2024 - PS Harry Kimtai has a difficult time justifying the training of 50 doctors for almost half a billion shillings
- 29 Nov 2024 - IEBC boss warns of constitutional crisis over boundaries review deadline
- 29 Nov 2024 - ODM dismisses reports of coercion to vote by consensus
- 29 Nov 2024 - Private entities allowed to recover proceeds of graft
- 29 Nov 2024 - Kenya's high octane politics three years to next general elections