- 263 viewsKifo cha rais Carter kimetufungulia ukurasa wa mwaka 2025, wiki hii tunaangazia uongozi Jimmy Carter kama rais wa zamani wa Marekani. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Rais wa Zamani wa Marekani Jimmy Carter amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 100.
- - NTSA on road safety ››
- 9 Jan 2025 - Makueni Senator Dan Maanzo has intimated that Wiper Party will merge ties with ousted Deputy President Rigathi Gachagua in the 2027 election contest.
- 9 Jan 2025 - "China's reported levels of respiratory infections are within the normal range -- it's what we would expect to see for the winter season," spokeswoman Margaret Harris said.
- 9 Jan 2025 - Chad's government said security forces had foiled an attempt to destabilise the country on Wednesday evening, after bursts of gunfire rang out near the president's office in the capital N'Djamena and the military blocked the surrounding streets.
- 9 Jan 2025 - Raging wildfires surrounding Los Angeles spread to the Hollywood Hills on Wednesday, after five other fires in the area killed at least five people, destroyed hundreds of homes and stretched firefighting resources and water supplies to the limit.
- 9 Jan 2025 - It was a massive sigh of relief for more than 50 mothers who had been detained at Thika Level Five Hospital because of unpaid maternity bills after Kiambu county government waivered their pending fees, totalling Sh6 million. They were allowed them to go…
- 9 Jan 2025 - Biden said "based on polling" he believed he would have won, but conceded his age may have affected him in office.
- 9 Jan 2025 - South Korea's impeached President Yoon Suk Yeol faces a new and potentially more robust attempt to arrest him for insurrection after a top investigator vowed to do whatever it takes to break a security blockade and take in the embattled leader.
- 9 Jan 2025 - The church detailed a plan to transform 50 schools in the next few months.
- 9 Jan 2025 - Almaz Negash takes pride in identifying and uplifting builders of Africa’s future.
- 9 Jan 2025 - Quality of tea sold through Mombasa Tea Auction between January and October 2024 led to more competitive bids and considerably higher prices with export volumes recording a 37.5 per cent increase. October monthly tea report released early this week by…