Rais William Ruto ahudhuria sherehe za Diwali

  • | KBC Video
    454 views

    Rais William Ruto ametangaza kwamba serikali itatafakari ombi la jamii ya Wahindu kutambua rasmi Diwali kuwa sikukuu ya kitaifa. Akizungumza kwenye sherehe za kwanza za Diwali kuandaliwa katika ikulu ya Nairobi, rais Ruto alisema atashughulikia ombi hilo kupitia michakato ifaayo kabla ya sherehe za mwaka ujao.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive