Rais William Ruto anaendeleza ziara yake Mlima Kenya kwa siku ya tano

  • | Citizen TV
    2,453 views

    Baadhi ya viongozi wa Kaunti ya Nyeri wamewarai Wakaazi WA kaunti hiyo kutowazomea viongozi wakati wa ziara ya Rais Ruto ambaye anatarajiwa maeneo mbalimbali ya kaunti hiyo hiyo kesho.