Rais William Ruto atarajiwa kuzindua kiwanda cha kutengeneza mbolea eneo la Kiamunyi

  • | Citizen TV
    565 views

    Rais William Ruto anatarajiwa kuzindua kiwanda cha kutengeneza mbolea katika eneo la Kiamunyi, eneo bunge la rongai kaunti ya nakuru baada ya kushuhudia hafla ya kufuzu kwa makurutu katika chuo cha mafunzo ya huduma kwa vijana NYS eneo la Gilgil.