Rais William Ruto awasuta Viongozi wa kisiasa wa upinzani akisema wamekosa mipango na mwelekeo

  • | Citizen TV
    3,752 views

    Rais William Ruto amewasuta Viongozi wa kisiasa wa Upinzani akisema wamekosa mipango na mwelekeo na ndio sababu sasa wameanza kumzungumzia.