Rapcha: Mtayarishaji yupi wa muziki ni bora Tanzania

  • | BBC Swahili
    8,234 views
    Rapcha mmoja wa wanamuziki maarufu wa Rap nchini Tanzania ambaye mtindo umekuwa kivutio kwa vijana wengi Hapa anajibu maswali matano chap chap! Msikilize #bbcswahili #tanzania #muziki Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw