- 158 viewsKiongozi aliyetajwa na Rais-mteule Donald Trump kushika wadhifa wa Waziri wa Mambo ya Nje, Seneta Mrepublican Marco Rubio wa Florida, anajulikana sana kwa ukosoaji wake kwa China. Licha ya kuwekewa vikwazo na serikali ya Beijing mwaka 2020, Rubio anasema ana imani ya ‘kutafuta suluhisho’ la kuihusisha China kama akithibitishwa. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Rekodi ya Seneta Marco Rubio kuhusu China | VOA Swahili
- 5 Apr 2025 - A group of white Afrikaners was so opposed to majority Black rule when apartheid ended some three decades ago that they carved out a separatist enclave, the only town in South Africa where all residents, including menial workers, are white.
- 4 Apr 2025 - The United States will know in a matter of weeks if Russia is serious about peace with Ukraine, U.S. Secretary of State Marco Rubio said on Friday, after European allies accused Moscow of stalling over the Trump administration's call for a ceasefire.
- 4 Apr 2025 - Rwandan-backed M23 rebels in eastern Democratic Republic of Congo have withdrawn from the strategic town of Walikale, describing the move as a goodwill gesture ahead of planned peace talks with the government next week.
- 4 Apr 2025 - South Korean President Yoon Suk Yeol was ousted on Friday by the Constitutional Court, ushering in an election after it upheld parliament's impeachment over his imposition of martial law that sparked the nation's worst political crisis in decades.
- 4 Apr 2025 - China's ByteDance faces a Saturday deadline to sell the U.S. assets of TikTok to a non-Chinese buyer, which was imposed by President Donald Trump in January, or face a ban that was supposed to take effect in January under a 2024 law.
- 4 Apr 2025 - The ongoing multi-agency security operation made notable progress Friday, when nine suspects linked to gangs in Msambweni Sub-County, Kwale County, were arrested following an intelligence-led operation.
- 4 Apr 2025 - Government Spokesperson Isaac Mwaura has defended Inspector General of Police Douglas Kanja after he came under heavy criticism and scrutiny for addressing a rally led by President William Ruto in Nyeri County on Tuesday.
- 4 Apr 2025 - The curtain fell today on the 2nd Mashariki Cooperation Conference (MCC) in Naivasha, with a strong call from Kenya’s top intelligence and foreign affairs officials for African unity against modern threats born of technological disruption, digital…
- 4 Apr 2025 - A Kenyan court has ruled that Facebook's parent company Meta opens new tab can be sued in the East African country over its alleged role in promoting content that led to ethnic violence in neighbouring Ethiopia, a plaintiff in the case said.
- 4 Apr 2025 - Mr Zaidi says he was subjected to human rights abuses.