Rigathi atoa wito wa kubuniwa kwa IEBC

  • | KBC Video
    144 views

    Aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua ametoa wito kwa jamii ya kimataifa kumshinikiza Rais William Ruto kubuni upya tume huru ya uchaguzi na mipaka. Gachagua alidai kwamba kuchelewesha usajili wa makamishna wapya wa tume hiyo ni njama ya kuwanyima wakenya haki yao ya kidemokrasia ya kuwachagua viongozi wapya mwaka 2027.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive