Rigathi awaonya wabunge wanaodaiwa kupanga njama ya kumbandua

  • | KBC Video
    122 views

    Naibu Rais Rigathi Gachagua amewasuta wabunge wanaopanga njama ya kumtimua madarakani akiwaambia wakome kuingilia shughuli za serikali na kuzingatia majukumu yao ya bunge kwa manufaa ya umma. Gachagua ambaye alizuru kaunti za Kirinyaga, Embu na Meru Jumamosi, pia aliwaonya wapinzani wake wa kisiasa kumruhusu kutekeleza majukumu yake aliyotwikwa na wananchi kuhudumu kwa kipindi cha miaka mitano akisema hatashinikizwa kujiuzulu. Na jinsi mwanahabari wetu Abdiaziz Hashim anavyokunjulia jamvi,sasa Mbunge wa Kimilili Didmas Baraza anasema zaidi ya wabunge 200 wametia sahihi hoja ya kumbandua naibu rais ambayo itawasilishwa bungeni juma lijalo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive