Rigathi Gachagua adai serikali imeuza ukumbi wa Bomas kwa raia wa Kituruki

  • | Citizen TV
    14,283 views

    Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua Sasa Anadai Kuwa Serikali Imeuza Ukumbi Wa Bomas Kwa Raia Wa Kituruki, Akidai Baraza La Mawaziri Tayari Limeidhinisha Hatua Hiyo. Gachagua Ametoa Madai Haya Huku Akipuuzilia Mbali Mkataba Wa Ushirikiano Kati Ya Rais Ruto Na Raila Odinga. Na Kama Anavyoarifu Emmanuel Too, Kiongozi Wa Wiper Kalonzo Musyoka Ameendelea Kukemea Ushirikiano Huu Kama Usaliti