Rigathi Gachagua akashifu serikali ya rais Ruto kwa kuwadanganya wakenya na ahadi feki

  • | Citizen TV
    11,099 views

    Aliyekuwa Naibu Rais Wa Rigathi Gachagua Amekashifu Serikali Ya Kenya Kwanza Kwa Kutokabiliana Na Pombe Haramu Baada Ya Yeye Kubanduliwa Mamlakani. Gachagua Aliyekuwa Akihudhuria Ibada Katika Kanisa La Pcea Naivasha Katika Kaunti Ya Nakuru, Ametaka Rais William Ruto Kuwaskiza Wakenya Ambao Wanazidi Kukashifu Mbinu Zake Za Uongozi.