Rigathi Gachagua asema mawakili wake wako tayari

  • | Citizen TV
    20,115 views

    Naibu rais Rigathi Gachagua leo hakujihusisha na shughuli yoyote hadharani, siku ambayo hoja ya kumbandua ilikuwa ikiwasilishwa mbele ya bunge la kitaifa. Shughuli yake ya mwisho hadharani ikiwa jana usiku alipofanya mahojiano ya moja kwa moja na wanahabari kutoka stesheni za Kikalenjin.