Ripoti Kuhusu Mazingira: Asilimia 19 ya ardhi Kenya ndio inalindwa na kutunzwa

  • | KBC Video
    34 views

    Kenya inakabiliwa na janga la hali ya hewa kutokana na kuongezeka kwa uchafuzi wa mazingira na kuenea kwa jangwa. Kulingana na takwimu za kwanza za mazingira na afisi ya kitaifa ya takwimu ya Kenya ni asilimia 19 pekee ya ardhi ya Kenya iliyoainishwa kama iliyolindwa mwaka wa 2023 kutoka asilimia 35 mwaka wa 1980. Ripoti hiyo inazidi kusema kuwa huenda Kenya ikakabiliwa na tatizo kubwa la maji kufikia mwaka wa 2050 kutokana na uchimbaji mwingi wa maji ya ardhini katika Kaunti za Nairobi, Kiambu na Nakuru. Jael Opicho ana maelezo zaidi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News