Ripoti kuhusu ufadhili wa ugaidi yazinduliwa

  • | Citizen TV
    25 views

    Katibu katika wizara ya usalama raymond omollo amesema kuna haja ya kupiga msasa mashirika yasiyo ya serikali yaliyoko katika mipaka karibu na mataifa yaliyo na changamoto za ugaidi kama njia mojawapo ya kuzuia visa vya ufadhili wa makundi hayo na kulinda taifa.