Ripoti ya ajali ya ndege ya Jenerali Francis Ogolla

  • | Citizen TV
    1,738 views

    Mwaka mmoja baada ya kifo cha Jenerali Francis Ogolla , uchunguzi umekamilika na umebaini chanzo cha kifo chake kuwa kufeli kwa injini ya ndege .