Ripoti ya Beijing+30 yazinduliwa ili kuangazia usawa wa kijinsia

  • | KBC Video
    4 views

    Katibu wa baraza la mawaziri Mercy Wanjau amewahimiza wanaume na wanawake kushirikiana kukabiliana na dhulma za kijinsia humu nchini. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa ripoti kuhusu haki za kijinsia iliyopewa jina Beijing+30, Wanjau alisisitiza kujitolea kwa serikali kuziba mapengo yaliyopo kufikia mwaka 2030.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive