Ripoti ya bunge yaonyesha asilimia 65 ya wakenya wanaunga mkono hoja ya Gachagua kuondolewa ofisini

  • | Citizen TV
    8,338 views

    Kabla Ya Bunge Kuanza Rasmi Kujadili Mswada Wa Kubanduliwa Kwa Naibu Rais Rigathi Gachagua, Takwimu Za Maoni Yaliyokusanywa Kutoka Kwa Wakenya Katika Maeneo Bunge 290 Zilichapishwa. Ripoti Hiyo Inasema Kuwa Zaidi Ya Wakenya Laki Moja Waliunga Mkono Hoja Ya Kutimuliwa Kwa Gachagua Huku Wakenya 69, 195 Wakipinga Hoja Hiyo. Na Kama Anavyoarifu Mwanahabari Wetu Ben Kirui, Kasoro Za Chapisho Zimeonekana Wazi Kwenye Ripoti Hiyo Licha Ya Viongozi Wa Wengi Na Wachache Bungeni Kusema Zoezi Hilo Liliendeshwa Kwa Mujibu Wa Sheria