Ripoti ya mdhibiti wa bajeti: Mamilioni yatumiwa kwa miradi isiyo na umuhimu katika kaunti

  • | K24 Video
    31 views

    Ripoti mpya ya mdhibiti wa bajeti imefichua matumizi ya mamilioni ya shilingi kwa miradi isiyo na umuhimu katika kaunti. Matumizi hayo ni pamoja na uzoaji taka na ada za kisheria. Ripoti hiyo pia inaangazia idadi kubwa ya akaunti za benki zinazomilikiwa na kaunti na kiwango cha chini cha matumizi ya fedha za maendeleo.