Ripoti ya uchunguzi wa kifo cha Jenerali Ogolla yatolewa

  • | KBC Video
    6,945 views

    Matokeo ya uchunguzi ulioanzishwa na wizara ya ulinzi yamefichua kwamba ndege alimokuwa mkuu wa majeshi marehemu Jenerali Francis Ogolla, ilikumbwa na hitilafu za injini kabla ya kuanguka. Ripoti hiyo iliyotolewa hii leo, inaashiria kwamba ndege hiyo aina ya Helikopta iliyokuwa ikitumika na kikosi cha wanajeshi wanahewa, ilikumbwa na hitilafu kubwa ya injini muda mfupi baada ya kuondoka Pokot Magharibi na kusababisha kifo cha Jenerali Ogolla na wanajeshi tisa wa jeshi la ulinzi KDF.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive