Risala za rambirambi zaendelea kumiminika kufuatia kufariki kwa mwanahabari Nick Mudimba

  • | K24 Video
    266 views

    Risala za rambirambi zinaendelea kumiminika kufuatia kufariki kwa mwanahabari wa CGTN Nick Mudimba hiyo jana nyumbani kwake eneo la syokimau.mudimba ametajwa kua mmoja wa wanahabari ambaye alisaidia wengi katika tasnia yake ya uwanahabari