Risasi, moshi na milipuko yaripotiwa katika mji mkuu wa Mali, Bamako
Kanda ya video iliyochukuliwa na mtu wa kawaida kuhusu misukosuko iliyotokea usiku Bamako, Mali ambako milio ya risasi, milipuko na moshi iliripotiwa.
Moshi mzito bado ulionekana asubuhi, lakini mji ulikuwa na utulivu.Jeshi lilisema limedhibiti hali hiyo, kufuatia kile walichokielezea kuwa ni jaribio la magaidi kujipenyeza katika uwanja wa jeshi.
#mali #bamako #voa
21 Apr 2025
- As an at-times unwitting star on social media, Pope Francis knew how to exploit the internet to preach the gospel, broadening the Church's appeal while modernising its communications.
21 Apr 2025
- US Defense Secretary Pete Hegseth fought back Monday -- with White House support -- against another scandal over his reported use of Signal to discuss airstrikes on Yemen, this time with his wife, brother and lawyer.
21 Apr 2025
- President William Ruto will visit Beijing and meet with President Xi Jinping as reciprocal trade tariffs between America and Beijing deepen, and shockwaves in the aftermath of the tariffs rip through the global markets.
21 Apr 2025
- Some cardinals who are being talked about as "papabili" to succeed Pope Francis, whose death at the age of 88 was announced by the Vatican on Monday.