Rophine Field ilifanya mbio Diani kuchangisha milioni 5 kwa Hospitali ya Msambweni

  • | NTV Video
    77 views

    Shule ya Rophine Field iliandaa mbio za barabarani huko Diani kaunti ya Kwale kwa nia ya kuchangisha shilingi milioni 5 za kuimarisha kitengo cha watoto cha Hospitali ya Rufaa ya Msambweni.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya