RSF wataka kuunda serikali m'badala Sudan

  • | BBC Swahili
    1,047 views
    Nchini Sudan, kikosi cha wanamgambo cha Rapid Support Forces (RSF) kinasema kitatia saini mkataba wa makubaliano ya kisiasa na vikundi vya kisiasa kutoka Sudan. Katika taarifa iliyotolewa baada ya mkutano uliofanyika Nairobi hii leo Jumanne, RSF imesema mkataba huo utatiwa saini siku ya Ijumaa.