Rufaa kuhusu kubanduliwa kwa Gachagua yaahirishwa

  • | KBC Video
    3,072 views

    Kesi ya kuondolewa mamlakani kwa aliyekuwa naibu Rais Rigathi Gachagua imeahirishwa hadi tarehe 15 Mwezi Mei, kufuatia uamuzi wa mahakama ya rufaa. Kesi hiyo iliyokuwa imepangiwa kutajwa hapo kesho katika mahakama ya Milimani kwa maelekezo zaidi mbele ya jopo linaloongozwa na jaji Eric Ogola, imeahirishwa kufuatia uamuzi wa mahakama ya rufaa. Kwa taarifa hii na nyinginezo, huu hapa mseto wa mizani ya haki.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive