Ruku Ahojiwa na Kamati ya Bunge, Atetea Mswada wa Kudhibiti Waandamanaji

  • | K24 Video
    503 views

    Mbunge wa Mbeere Kaskazini, Geoffrey Ruku, amehojiwa na kamati maalum ya uteuzi inayoongozwa na Spika Moses Wetang’ula kufuatia uteuzi wake na Rais Ruto kuchukua nafasi ya Justin Muturi. Ruku alitetea mswada wake wa kudhibiti maandamano, hasa baada ya maandamano ya Gen Z, na akaahidi kushughulikia masuala kama vile kuondoa wafanyakazi feki serikalini ndani ya Wizara ya Huduma kwa Umma.