Russia yazingira Bakhmut, Wagner waagiza wanajeshi wa Ukraine kuondoka

  • | VOA Swahili
    18,034 views
    Waandishi wa shirika la habari la Reuters, walio magharibi mwa mji huo, wamewaona wanajeshi wa Ukraine wakichimba mahandaki kwa ajili ya kujilinda na kwamba kamanda wa Ukraine katika kitengo cha ndege zisizokuwa na rubani katika mji huo amesema kwamba ameamuriwa kuondoa wanajeshi wake. #waandishi #shirikalahabari #reuters #wanajeshi #ukraine #mahandaki #kamanda #kitengo #ndege #rubani #voaswahili - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.