Ruto asema wanaomkosoa hawana ajenda yoyote mbali na kumuondoa mamlakani

  • | K24 Video
    31 views

    Rais William Ruto leo amezuru kaunti ya lamu na kuzindua miradi ya maendeleo pamoja na kupigia debe serikali yake ya jumuishi. Ruto akionekana kumjibu aliyekuwa naibu wake katika mahojiano na vyombo vya habari, amesema wanaomkosoa hawana ajenda yoyote mbali na kumuondoa mamlakani. Rais pia amedai wapinzani wake wanakerwa na jinsi anafahamu maeneo tofauti ya nchi anayotaja katika ziara zake.