Ruto awashutumu viongozi wa kisiasa wanaohujumu marupurupu ya wakulima wa miwa

  • | NTV Video
    230 views

    Viongozi wa serikali wakiongozwa na rais William Ruto wamewashutumu baadhi ya viongozi wa kisiasa wanaohujumu hatua ya serikali ya kulipa wakulima wa mmea wa miwa marupurupu wakiwataja kama wanaotaka kuendeleza siasa za kibinafsi.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya