Ruto kuelekea mlima Kenya

  • | Citizen TV
    6,209 views

    Rais William Ruto amefanya mkutano maalum na baadhi ya viongozi kutoka eneo la Mlima Kenya katika Ikulu ya Nairobi, kabla ya ziara yake inayotarajiwa eneo hilo hivi karibuni. Rais amesema kwamba mkutano huo uliangazia maswala ya ukulima, biashara na maendeleo katika eneo la Mlima Kenya.