Ruto : Mjichunge, naskia kuna watu wakisikia bonus inalipwa mahali wanakuja kunyemelea

  • | KBC Video
    140 views

    RUTO WESTERN TOUR

    President Ruto : Ile pesa ya bonus inalipwa hapa Mumias, unalipwa kulingana na ile miwa umeuza hapa, kama umeuza ya shilingi mbili unalipwa ile inatoshana na shilingi mbili. Kila mtu anakula jasho lake. Na mjichunge, naskia kuna watu wakisikia bonus inalipwa mahali wanakuja kujipanga hapo kunyemelea.

    #KBCniYetu

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive