RUTO NA XI WATIA SAINI MIKATABA YA MAENDELEO

  • | K24 Video
    1,330 views

    Rais William Ruto na Rais Xi Jinping wa China wametia saini mikataba kadhaa ya ushirikiano, ikiwemo ujenzi wa awamu ya pili ya reli ya SGR kutoka Naivasha na upanuzi wa barabara kuu ya Rironi hadi Mau Summit. Mikataba hiyo inalenga kuimarisha ushirikiano kati ya Kenya na China na kuiweka Kenya mbele katika maendeleo ya Afrika.