Ruto : Nitatembea hapa Mlima Kenya mpaka mtaniuliza kama sina mahali pengine pa kwenda

  • | KBC Video
    16 views

    ZIARA YA RUTO MLIMA KENYA

    Ruto : Nilisema katika manifesto yetu tutakuwa na 'Hustlert Fund' na kutoa wananchi milioni-5 kuoka CRB . Leo hii zaidi ya wananchi milioni-4 wanafaidika na 'Hustler Fund'. Nitatembea hapa Mlima Kenya mpaka mtaniuliza kama sina mahali pengine pa kwenda.