Ruto:Taifa liko kwenye mkondo ufaao wa maendeleo

  • | KBC Video
    163 views

    Rais William Ruto ameahidi kutenga shilingi bilioni-4 katika kipindi kijacho cha kifedha ili kukarabati miundombinu ya barabara za jiji la Nairobi kama sehemu ya juhudi za kuepusha msongamano wa magari na kuboresha shughuli za usafiri jijini. Akiongea katika eneo bunge la Dagoretti Kaskazini, rais Ruto alisema fedha hizo zitatumika kujenga barabara za viungani na kukarabati zile za kitambo ili kuimarisha miundombinu ya uchukuzi jijini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive